Hii nayo ya aina yake..Udsm wana adventure nyingi za kusimuliaView attachment 2494505
Aisee...apewe kazi huyo.
AiseeAcha tukamatwe tuView attachment 2495385
🤣🤣 Hana hamu
Aajiriwe kwenye IT department ya benki aliyoidukua.
FB kuna vituko. Watu sijui wakoje kule
The slower the metabolism, the longer the life span....
Ndiyo maana nilikataa kwenda kufundisha LolezaKwa hapa hata kama Mimi ningekua hakimu kwakweli ningefikiria Cha kufanya maana ni kuwaonea watuhumiwa
Hahahaaaa, lakini huku siku hizi sketi zinavaliwa urefu wa kisiginoNdiyo maana nilikataa kwenda kufundisha Loleza
Wanyaki walivyofungasha hata kama wangevaa madera haisaidii cho chote!Hahahaaaa, lakini huku siku hizi sketi zinavaliwa urefu wa kisigino