Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Tumekuwa taifa la hovyo. Taifa la kamari. Mchezo huu unaathiri sehemu ya ubongo ile ile inayoathiriwa na madawa. Na uraibu wake ni mbaya sawa tu na Cocaine. Sijui tunajenga taifa la aina gani!Muwekezaji anapiga pesa tuView attachment 2494798