Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20230125-WA0012.jpg
 
Leo vipi?

Mie kuchaji simu,kufuta sms/call ni mvivu mbaya[emoji23],

Kama hivi mama anayo kazi ya kunichajia usiku[emoji7],au ananiambiaga chaji simu [emoji16]View attachment 2494593
Hatimaye...hapo sasa safi[emoji122],hata macho yameona kitu tofauti leo, endelea kumimina vituko tu,jitahidi uwe unachaji mwenyewe bana,acha kumsumbua mama wa watu,,au ndio ma last born mnaozungumzwa humu kila siku? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom