Kitomari xxiv
JF-Expert Member
- Sep 26, 2021
- 1,286
- 12,574
Nmesoma habari naona bado hajaandika ni kiasi gani ila tutegemee ongezeko la sifuri mbele.
Hii sio trash?[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2488790
View attachment 2490145
Kabila gani huyu au basi[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23] hii nchi ni ngumuNmesoma habari naona bado hajaandika ni kiasi gani ila tutegemee ongezeko la sifuri mbele.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Huyu xavier anafurahishaga sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2489679
[emoji1787][emoji1787] kuna watu hawana aibu kabisa! Hivyo tanzania itaanza kuendeshwa kipoland poland!!? Tunalingana nao mahitaji!!? Mfumo wao upoje, ni rafiki au ni wa kijizi kuliko huu!!?
Wnge zoom pale kwenye majanaba tuone zambi hua zinafananaje! Maana hicho kipande nicha paji la uso tu