Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni mtanzania,anasoma IST,anasema eti Ali hangisha kwa wadau mbalimbali,sijui in wadau gani ila nilimuona juzi akiongea pamoja ya mama yake hapo kwenye kituo cha hao watoto
Kwa matajiri sio kubwa hizo. Just familia ya wauza mo energy, mafuta ya kula, unga wa ngano. Familia 10 zikitoa 10m inakuwa 100m. Sasa hicho cha ajabu. Ajabu ni ule moyo wa kujitangaza maana sadaka ni siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…