Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1673207046064.jpg
 
Kweli
Mvua ikinyesha ile inakuwa inakatika kqma haikatiki, ni Kitomari

Ikinyesha na jua ni Mbise

Ikinyesha na upepo ni Palanjo sijui Palangyo [emoji1787]
Umekaa sana Chuga inabidi uhame sasa. Mpaka umejua majina na mila za Wachaga in details hivi. Next stop: Bukoba au Musoma! [emoji16]
 
Back
Top Bottom