Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama kawaida yenu si ajabu anazingua hatari. Akishavuka 30 huko kwenda mid 30 odometer imekula mileage za kutosha na mabaharia wa kumshobokea wamepungua ndiyo anashtuka....


Mwaka mpya umekukutaje lakini?


Aahahahahhahaaaa
Loooh....!

Haya bana acha nianze kushauri na kuwafunda waschana wa sasa wasizingue kama mie bibi yao hata nafika 60s niko singo...😃.

Mwaka umeanza vyema kabisa, ashukuriwe Muumba.

Wewe je...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…