[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ndo namalizia hapa cjui waja kulipa sa ngap
Noma sana
Hahahaha ool pole sana mwambaHalafu Utawasikia "uchungu wa mimba unaujua wewe", "au maumivu ya leba unajua wewe"?
Sisi mda huo tunawaangalia tu, sio kwamba hatuna majibu ila tunashindwa ni namna gani ya kuya eelezeaView attachment 1304851
It's Scars
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ndo namalizia hapa cjui waja kulipa sa ngap
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee nimecheka sana hyo picha ya kwanza hapo. Watu sijui wanawaza nini,ila ndo uhalisia[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1307384View attachment 1307392