Ukisikia pale ambapo shetani nayeye anaombwa katika maombi ya binadamu ni hapo, kwamba upepo mkali uje ili hicho kikonyo cha mti kikatie na kikapu kiangunge chini kwa baharia.Maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya. View attachment 1299503View attachment 1299504
Sent using Jamii Forums mobile app
I don't know,but hiyo pic nimependa comment ya huyo jamaa,so huo mstari kwenye hilo jina ckutilia maanani
Huyo mama. Anafanyeje hapo porini
Yess ni mkuu wa kituo cha polisi
Ooh ahsanteYess ni mkuu wa kituo cha polisi
OCS - Officer Comminding Station
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kufaaa