Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FURSA FURSA FURSA Update Dec2022

Serikali kupitia
Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za;

Masomo 2022/2023 Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi FDCs ..Focal Development College - Wasichana na Wavulana..

Umri Miaka 17 na kuendelea..Mwisho January 20, 2023

Mzazi/ atachangia ADA ya Tshs 250,000 kwa mwaka...

Vyuo vyote Ni Bweni/bording...

Gharama nyingine zinalipwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Fani ya UFUNDI atakaochagua ni pamoja na masomo ya Secondary QT kwa watakaopenda ...

Kozi ni miaka 2 tu na atafanya mitihan ya VETA level 2

Kwa maelezo Zaidi wasiliana na Mkuu wa Chuo Husika

NB.. Tangazo Hili Ni BURE....Ukipata nafasi hakikisha unapewa namba ya serikali (control number) kwa Kulipa sehemu ya ADA

Nawatakien Baraka tele katika Kuhakikisha Hakuna Kijana anayesalia mtaani ktk makundi hatarishi..By Madam Anna

1. Chilala FDC -LINDI..0625973780
Umeme
Uashi
Useremala
Ushonaji
Ufundi Magar

2. Masasi FDC - Mtwara..0735013734
Umeme
Uashi
Upishi
Ushonaji
Uchomeaji
Fundi bomba
Ualimu Chekechea
Ufundi Magar & drivin

3. Mbinga FDCs - Songea..0768180147
Umeme
Uashi
Seremala
Computer
Ushonaji
Ufundi Magar

4. Muhukuru FDCs -.. Songea.. 0684950096...na 0689530570
Uselemara
Uashi
Ushonaji
Umeme wa majumbani
Kilimo na Mifugo 3yrs

5. Tango FDCs - Mbulu. - Manyara...0754024494
Kilimo
Mifugo
Umeme wa majumban na viwandani
Ufundi Magar
Ushonaji
Useremala
Uashi

6.Same FDC - Kilimanjaro..0753484021
Upishi
Uashi
Ufugaji
Kilimo
Umeme majumban
Ufundi Magar
Umeme wa Magar
Uchomeleaji
Ushonaji

7. Newala - Mtwara..0784250653
Uashi
Useremala
Umeme majumban
Ufundi Magar
Ushonaji

8. Mamtukuna - Rombo.- Kilimanjaro.0754052304
Useremala
Uashi
Ushonaji
Umeme viwandani
Electronic
Kilimo na Mifugo
Ufundi Magar

9. Kilwa FDCs - Lindi..0718479252
Umeme majumbani
Kilimo na Mifugo
Ufundi Magar
Ushonaji
Computer
Uashi
Kuongoza Watalii..Tour Guide Operators

10. Sengerema FDCs - Mwanza..0712835362
Umeme
Uchomeaji
Ufundi Magar
Useremala
Ushonaji
Uashi
Ualimu Chekechea


11. Malya FDCs..Kwimba - Mwanza..0768526778
Umeme
Udereva
Ufundi Magar
Uashi
Uchomeleaji
Kilimo na Mifugo
Ushonaji
Ualimu Chekechea
Ufundi bomba/Plumbing

12. Rubondo FDC - Biharamuro,Kagera..0757 12 25 77
Umeme majumbani
Umeme wa Magar
Ufundi Magar
Uashi
Ushonaji na ufumaji
Uhazili na Computer

13. Gera FDC - Bukoba Vijijin, 0768566655
Umeme majumbani
Uchomeaji
Ushonaji

14. Nandembo FDC - Tunduru - Songea 0784 86 67 22
Umeme wa majumban
Useremala
Ufundi Magari
Ushonaji
Uashi

15. Katumba FDC..Tukuyu, Mbeya...0762 50 37 00
Tehama
Umeme wa Majumbani
Ufundi Magari
Uhazili
Ualimu Chekechea( Day Care)
Useremala
Uashi na tofali
Uchomeleaji .. welding
Kilimo na Mifugo
Ubunifu wa kutengeneza picha (Graphic & Arts design)

16. TARIME FDC - TARIME MARA 0766565462
Ushonaji
Umeme wa majumbani
Useremala
Uashi
Mifugo
Funding magari

17. Musoma FDC;Musoma Mjini - 0755062110
Umeme wa majumbani.
Uashi.
Ufundi magari.
Ushonaji nguo.
Ufundi bomba.

18.
Ilula FDC - Iringa..0757517343
Ushonaji
Upishi na uhudumu wa hotel
Ujenzi
Uungaji vyuma
Useremala
Umeme wa Majumbani

19. Sikonge FDC Sikonge-Tabora 0754647358
Umeme wa Majumba
Uashi/Ujenzi
Ufundi Bomba
Uungaji vyuma
Ushonaji
Tehama
Elimu Haina Mwisho
Ususi na mapambo
Udereva

20. Handeni FDC..0712836386
Umeme wa majumbani
Upishi
Magari( mvm)
Uashi/ujenzi
Mifugo
Kilimo
Ushonaji
Useremala
Uchomeleaji
Fundi Bomba
Kompyuta
Udereva

21. Ulembwe FDC, Wanging'ombe- Njombe 0755395536
Umeme wa majumbani
Ushonaji wa nguo
Useremala
Ujenzi na
Uchomeleaji na uungaji vyuma

22. MSAGINYA-KATAVI.0768208372:
Ufungaji
Umeme
Ubunifu na ushonaj
Useremala
Uashi.
Kilimo na Mifugo.
Upishi na Utalii
Ufundi bomba.
Uchomeleaji.
Masomo ya Sekondari QT Na PC.

Please share
HEfDE, Dec 2022
 
Screenshot_20230110-161623_1.jpg
 
Back
Top Bottom