antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,007
- 133,211
[emoji23][emoji23]Unamaliza kugombana na kumtusi kondakta, baadaye kidogo unasikia mlio wa sarafu kuashiria kuwa konda ameanza kukusanya nauli. Unajisachi unagundua huna wallet, ushaibiwa, na huna hata 100, na konda mwenye hasira kali juu yako anakukaribia[emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vinajua kunya hivi vitoto acha kabisa [emoji23] [emoji1544][emoji1550]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wadada na Mawigi..
Utajisikiaje siku Boyfriend wako anaingia chumbani halafu anatundika NDEVU zake kwenye henga?!