Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mimi huwa nashangaa kuna uhusiano gani kati ya mwonekano wa mtu na tabia?
hii swali naomba tumpe Mshana Jr

ila kwangu mimi naweza sema "watu hutenda na kubehave vile wanavyovifikiria mostly of the time"
kama unawaza sana biashara iko siku utajishtukia umeanzia mojawapo na uta act as a business person
kama unawaza pombe utainywa tu
kama unawaza ngono there you go......
likewise to every things huwa unawaza itacreate desire........desire itacreate msukumo wakukifanya + behaviour etc

Angalia hiyo picha ya huyo mdada nambiye anawaza nini??
 
Kikubwa nilichokiona kwa huyo dada ni rangi ya nywele na hiyo aliyochora sasa najaribu kuvihusianisha na umalaya sipati jibu
 
Malaya waliokubuhu.......mkisogea kwenye kichaka tu anainama, kinachofuata sijui!!
giphy.gif
 
hii swali naomba tumpe Mshana Jr

ila kwangu mimi naweza sema "watu hutenda na kubehave vile wanavyovifikiria mostly of the time"
kama unawaza sana biashara iko siku utajishtukia umeanzia mojawapo na uta act as a business person
kama unawaza pombe utainywa tu
kama unawaza ngono there you go......
likewise to every things huwa unawaza itacreate desire........desire itacreate msukumo wakukifanya + behaviour etc

Angalia hiyo picha ya huyo mdada nambiye anawaza nini??
Kila kitu huanzia rohoni, utulivu wa rohp ni umakini wa mwili.. Kuna watu wanaitwa wana vurugu za kimaono, hao hata tembea yao tu ni shida, hapo bado matendo, mavazi mazungumzo sauti nknk
 
Back
Top Bottom