Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,357
- 5,145
[emoji4]
Maza mjengo niko busy na mambo ya msingi😂😂😂😂😂dhambi sitaki,, niko busynna haya mapenzi ya jua kali
Para na Iddiy
Femmy na Luca
Maria na Frank
Unakosa uhondo kujifanya maza mjengo hufwatiliii hizi vitu 😂😂
Si ndio sasa 😆Au ana trako la kwenda [emoji3][emoji3][emoji3],wanakuwaga vi portable tu View attachment 2472376
Si ndio sasa 😆Au ana trako la kwenda [emoji3][emoji3][emoji3],wanakuwaga vi portable tu View attachment 2472376
Em kwendraaaMaza mjengo niko busy na mambo ya msingi😂😂
Tamthilia ni zenu watoto msio na majukumu😂
Na hizi taarifa wamepataje
[emoji848]
Huyo apo na pini yenyewe ndio hiyoAu ana trako la kwenda [emoji3][emoji3][emoji3],wanakuwaga vi portable tu View attachment 2472376
Huo sasa sio uremboHuyo apo na pini yenyewe ndio hiyoView attachment 2472476
Ulioa lini mkuu? Unajutia nn kwenye ndoa mkuu?