Ni kweli mkuu naona Hilo na masomo ya sayansi ni vigumu kujiajiri maana sio applicable Africa sii bongo tu ndo maana Elon musk alikimbilia USA mapema huku vitu vya kujiajiri ni vilevile tu (nguo,mazao,duka,hardware, electronics,) Ila hamna mtu anayeweza kufunguka kampuni inayojihusisha na Mambo ya kisayansi ni vigumu Sana kutokana na mazingira yetu 😭😭😭elimu tu ya bongo haina thamani.....ni mwendo wa kukariri madesa
issue sijui za uvumbuzi kwa huku kwetu tusahau kabisa
kuna dogo Form 2 na 4 alitoka na Div I ya 7..........can you imagine hajui hata SI Unit ya vizio mbalimbali inatokea wapi eg.density,Force etc
Sasa watu wa muundo huu unategemea watamaliza shule wajiajiri?? wanachowaza wao hapo atapata kazi yenye cheo cheo basii
Ni kweli mkuu naona Hilo na masomo ya sayansi ni vigumu kujiajiri maana sio applicable Africa sii bongo tu ndo maana Elon musk alikimbilia USA mapema huku vitu vya kujiajiri ni vilevile tu (nguo,mazao,duka,hardware, electronics,) Ila hamna mtu anayeweza kufunguka kampuni inayojihusisha na Mambo ya kisayansi ni vigumu Sana kutokana na mazingira yetu 😭😭😭
pitia hapa
www.pwaniplatforms.com
nimeweka idea bado kuna vitu vingi hii project inanidai then lets talk



pitia hapa
www.pwaniplatforms.com
nimeweka idea bado kuna vitu vingi hii project inanidai then lets talk


