Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

For fast furious fans
FB_IMG_16730124834368597.jpg
 
Nilishamuacha anawanawake kama utitiri[emoji41]

Naomba kazi, bosi mwenye ma Hardware yake [emoji2440]

Naona siku hizi umeajiri wa kutosha muda wote upo jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Halafu uzi huu bhana hauna adabu wallah[emoji2440]
Chizi wewe stress za mikopo natolea huku [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora udondoshe njiani. Watu mnaishi pamoja, mnacheka mnapiga stori halafu haohao wanakuzunguka wanakuibia inakera sana
Kama kuna tineja mtukutu au mtu mwenye uraibu wa unga au pombe inaeleweka. Lakini kama ni familia wote mko wazima hakuna mwenye changamoto ya aina yo yote halafu mnaibiana siyo dalili nzuri kwa hiyo familia. Pole!
 
Back
Top Bottom