Aisee...1. Mchape mtoto
2. Mbembeleze, mpe pipi na biskuti.
3. Muulize, Nani kakuchapa?
Atasonta vidole Kwa mtu mwingine!
Hivyo ndo rushwa na ufisadi vinapandwa na kukuzwa tangu mapema!
🤣🤣Ruto huyo..
🤣🤣🤣🤣 Sasa na sie tunaolamba bao letu wenyewe tunawekwa kundi gani🤔🤔🤔