antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,095
- 133,422
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binti: babaa, saivi saa 4, naenda kwa rafiki yangu tukasome afu aniazime vitabu vyake, ntarudi jioni..
Baba: aah wapi, thubutu.. sidanganyiki. Mamaako alikuwa anamdanganya babaake hivyo hivyo alivyokuwa anakuja kwangu[emoji849]
🤣🤣KKOO zimebakia iPhone tuView attachment 2469468
Aisee 🤣Binti: babaa, saivi saa 4, naenda kwa rafiki yangu tukasome afu aniazime vitabu vyake, ntarudi jioni..
Baba: aah wapi, thubutu.. sidanganyiki. Mamaako alikuwa anamdanganya babaake hivyo hivyo alivyokuwa anakuja kwangu🙄
😛 Ubaguzi huu mnataka apendwe na Nani Sasa.
[emoji3][emoji3][emoji3]hatua waliyofikia developed countries ni balaaWengine zilitolewa bure vichakani huko huyu yeye anataka kulipwa $1 milioni [emoji15][emoji15]
View attachment 2469362
Rekodi ni mara 56 kwa hiyo bado sana. Endelea kupambana [emoji16][emoji16][emoji16]