Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kumbe kuna vyama vya machawa kila mkoa [emoji15][emoji15][emoji15]
Ah! India mbona walikua kama mateja
Nakula na naongeza
Ahsante,Pole rafiki
Kuna mitumbwi mingine ukiivamia kazi unayo! Kama huyu ndio ujikute umemuoa
Yaani sielewi,nilienda dukani sasa sijui niiacha pale au nilidosha njiani, nashtuka nipo duka lingine nitoe hela nimebakiwa na 3500[emoji23]Ilikuwaje lakini!
Yesu alishika amri zote kikamilifu, ili wewe ukitubu na kumwamini yeye, uhesabiwe kuwa wewe ndio umeshika kikamilifu, hiyo ndio maana ya kuokoka "kuhesabiwa haki kwa imani"