Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ndo sababu ya kudumaa kwa maendeleo huko mikoa ya Kusini. Huyu jamaa aliyekimbia nyumba yake akikusimulia utashangaa sanaKwahiyo umeamua kunimaliza[emoji23]
Anyway kusini ni kiasi babu, lkn upo kuna washenzi huku mbaya,
Dogo kuna siku kaamka hafumbui macho anasema wamemtpigilia misumari dadeq[emoji1787], aisee tulivurugwa misumari hatuioni lkn macho hayafumbuki kutwa[emoji23]
Uchawi upo aisee.
Hayajakukuta haya eeeh,yaani siendi popote zaidi ya jukwaani tu.Kwa nini usibadili mwenyewe?
Yes,utaona kama maigizo,lkn ni kweli yapo sana,Ndo sababu ya kudumaa kwa maendeleo huko mikoa ya Kusini. Huyu jamaa aliyekimbia nyumba yake akikusimulia utashangaa sana
Nasubiri Remix ya Wachina Ft Harmonize tu..Infilex[emoji23][emoji23][emoji23] Mchina kmmkeView attachment 2459628
Huu upumbavu unapatikana Tanzania tuKazi ipo!
View attachment 2456147
Naendelea kufungua codes[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji122][emoji122][emoji122]100% True!
View attachment 2459764
Sawa kabisa serikali imjengee sanamu. Lakini tenda ya sanamu asipewe Kigwangala.SUMA JKT naomba uyu Mdada apewe ulinzi Kisha wizara ya utalii imjengee Sanamu pale njia panda ya Mwanjelwa Mbeya [emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2459509
[emoji41]ina maana kuna jemba ilikua inampakua huyo mnyama au macho yangu ni mabovu
Wahuni wamejichapia nyapu ya bure hiyoooooooo[emoji41]ina maana kuna jemba ilikua inampakua huyo mnyama au macho yangu ni mabovu
[emoji23][emoji23][emoji23]baharia kafikiria mbali sana
Afrika nzima na ko kote kuliko na mtu mweusi hapa duniani - Jamaica, Haiti...you name it!Huu upumbavu unapatikana Tanzania tu
Hahaha!!Safi kabisa bageshi.
Hapa ghettoni kwangu nina draw ya mambo ya dharula kama hayo japo sitegemei kuwa na mechi hapa leo, kesho na hata milele lakini sifa ya mwanaume makini ni kuwa tayari kwa lo lote wakati wo wote maana you just never know....[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So sad. Men, please don't be like Baba Jayden [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2459809
Hapana siyo dhambiKwani kutokuona siku ni dhambi?
hahahaha mtu kagegeda nguchiro hahahahhaha