alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,721
- 6,075
[emoji16][emoji16][emoji16] sijui kwa nini nimecheka kwa nguvu[emoji16][emoji16]View attachment 2452122
Dah niazime blo takutoAHata sasa ninako kamoja. Aisee katamu hatari! Kakikumeng'enyulia unaipata yote kabisa yaani dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2451607
Nimeona kipilipili vuzi kwa mbaaaaaali
Mmmh sio ,Shina moja mahindi 6, hindi moja Sh500, kwa ekari moja mashina 20,000, hivyo: 6*500*20,000 ni Sh60,000,000, ukiwa na ekari 10 ni Sh600,000,000. Kwa nini wakulima wanaendelea kuwa masikini?View attachment 2450588