McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Tamaduni zingine bana!!😡😡Neema Nyangige (19) Mkazi Kata ya Buswahili, Wilaya ya Butiama mkoani Mara amemlalamikia mme wake ambaye ni Bi. Wegesa Msheshe (75) aliyemuoa Nyumba Mbokhe (mwanamke kumuoa mwanamke) kumlazimisha kufanya mapenzi na vijana wake wanne au kurudisha mahari zote endapo akikaidi.
Neema amesema kuwa alipata mimba za utotoni jijini Mwanza hivyo hamjui baba wa mtoto na aliporudi kijijini akakuta wazazi wake wanadaiwa pesa kwenye kikundi, hivyo ikabidi wamuozeshe kwa bibi huyo ambaye alitoa mahari ya ng'ombe tano na mbuzi watatu.
Wazazi wangu waliuza mahari yangu ili kulipa madeni sasa huyu mme wangu (Bibi) pamoja na vijana wake wamekuwa wakinipiga mara kwa mara kisa nimekataa kuwakubalia kile wanachotaka, mpaka sasa nimefukuzwa na wameniambia nirudishe ng'ombe na mbuzi zote walizoniolea," amesema NeemaView attachment 2448276
HAKIKA Wakubwa wanafaidi. Ngoja na mimi nikue.Pipooooziii [emoji351][emoji351][emoji351]!!!
View attachment 2450000
Dah huyu mie kabisa nikishapiga zangu bao mbili za dakika mbili mbili najilalia zangu🤣🤣🤣🤣🤣
Tende kwa hapa Dar zinapatikana wapi?
Fundi Maiko in action....
Mpaka jasho linamtoka kmmk. Kufumaniwa noma [emoji16][emoji16][emoji16]Maombi yenu wadauView attachment 2450105
Zenye mashavu ya hivi ukiipata unaweza kumwaga mpaka uboho (bone marrow)...
Hahaha!!nimecheka sana hii pichaDah huyu mie kabisa nikishapiga zangu bao mbili za dakika mbili mbili najilalia zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseeeeee!!MISA YA KWANZA HATA MADEMU WAKALI HAMNA DAHH[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Hapa sasa ajiandae kupelekeshwa kama gari bovu maana demu atatumia hiyo pichaHahaha!!nimecheka sana hii picha
Huyo jamaa kajisahau sana na hizo p..umbu zake
Nguvu za kiume formula
Faida za kula mjani[emoji26][emoji26][emoji26]View attachment 2450106
With sucker punch [emoji23]Shivo strikes again [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2450108