Huelewi kitu wewe!!!Yaani wewe ume screenshot 15/12/2022 halafu picha imepigwa 18/12/2022, huna tatizo kichwani kweli?






RTS makutu ndiyo ilikuwa balaa enzi zilee..Daah hizi mbigili nilizokoma enzi za Jkt mujibu wa sheria tumekula vibukta tunacrawl asee kuna mida mbigili ziliganda kwenye dickhead muda wa kucrawl kale kamshtuko sitosahau![]()
Me nilikuwa Makuyuni uko ArushaRTS makutu ndiyo ilikuwa balaa enzi zilee..