Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Bleach fc itabidi tuwatafutie fashion show...nimeumia sana brazili kutolewaBrazil weraa a yuu
Bleach fc itabidi tuwatafutie fashion show...nimeumia sana brazili kutolewaBrazil weraa a yuu
Ni kweli nae kapotea jukwaani, watarudi, Mungu ni mwema wakati wote,Hata huyu hayupo. I hope ni wazima huko waliko
View attachment 2441260
Itakuwa hivyo,Mungu awafanyie wepesi ktk kila hali.Majukumu labda
Lazima wawe wakali maana hawatongozwi🤣🤣🤣🤣
Dah nimekosa bonge la mechi...nani alianza kupiga penaltyHaya nishashinda nikapumzishe fuvu sasa
![]()
Dar - Moro bado ni saa moja na nusu au ni masaa manne yale yale kama Abood ya elfu 10? Mabehewa yale waliyoleta yale si yatachukua hata wiki kufika Moro yale?
Mtaambiwa mmekosa shukrani[emoji23]Dar - Moro bado ni saa moja na nusu au ni masaa manne yale yale kama Abood ya elfu 10? Mabehewa yale waliyoleta yale si yatachukua hata wiki kufika Moro yale?
Atapanda Makamba na watoto wake [emoji706]
View attachment 2441364
Kwani uwogo? Sii ajabu hadi aftatu unatumiwa bila ata kuomba kisa tako lipoAkili zako bhana[emoji23]
Atapanda Makamba na watoto wake [emoji23]Dar - Moro bado ni saa moja na nusu au ni masaa manne yale yale kama Abood ya elfu 10? Mabehewa yale waliyoleta yale si yatachukua hata wiki kufika Moro yale?
Atapanda Makamba na watoto wake [emoji706]
View attachment 2441364
Hujui utamu wa A na B wewe [emoji23]D or E [emoji736]️[emoji736]️[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2441365