Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kumbe bado kijana Uwe unatuamkia wakubwa zako any way happy birthday to you kijanaToday I am celebrating my 36th birthday, I am happy to be here with a community that we do not know each other but we love each other very much, and all lovers I wish to be kind to each of us
Yangu nilichomaga moto. Kwa hali ninavyoiona itabidi nizame pale Lumumba nikachukue mpya! [emoji16]Niko kwenye mchakato wa kumiliki kadi ya ccm,
Hii biashara inalipa
Vipi kaka yule demu wa kwenye bus ulimkula???Aisee huyu ni mimi kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maneno mengiii ila ikifika wakati wa game dakika zangu mbili chali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukatoliki ni dini moja naikubali sana basi tu [emoji16]
Wewe na Yolly Yolly si bado mko early 20s. Wajukuu kabisa yaani!Kumbe bado kijana Uwe unatuamkia wakubwa zako any way happy birthday to you kijana
Siyo Waafrika hao. Afrika ni South of the Sahara desert. Kama ulisoma Trans Saharan trade fomu foo.....Waafrika ndiyo walikuwa wanatoka huku Kusini kwenda huko Kaskazini ambayo wenyewe wanaitambua kama sehemu ya Mashariki ya Kati...Hawa jamaa ni wabaguzi sana,Sema bhasi tuView attachment 2438762
[emoji23] nilidhan nimeingia kwenye uzi wa warembo wakali worldwide kumbe sio.Wewe ni kipofu???
Fanya upate,ukagombee ubunge misungwi babu,Yangu nilichomaga moto. Kwa hali ninavyoiona itabidi itabidi nizame pale Lumumba nikachukue mpya! [emoji16]
Mwenyewe nilishtuka ujue[emoji16][emoji23] nilidhan nimeingia kwenye uzi wa warembo wakali worldwide kumbe sio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio huwa wanarushiana maneno mitandaoni na celebrities [emoji16]
Easy sana hiiView attachment 1280874
Kule wanarogana hatari. Sitatoboa! [emoji16][emoji16]Fanya upate,ukagombee ubunge misungwi babu,