Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Daah ila hawa wajomba waliteseka saana
FB_IMG_16702795104714626.jpg
 
Afrikaaa[emoji848]Nghafilika!

Baadhi ya madaktari nchini Uganda wakiongozwa na Rais wa Chama cha Madaktari nchini humo, Dkt. Odongo Oledo wakiwa wamepiga magoti mbele ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, wakimuomba agombee Urais kwa muhula wa saba mwaka 2026.

Na asipofika je[emoji2827]
20221206_093704.jpg
 
Back
Top Bottom