Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,218
- 148,473
Roho mbaya mtu wewe[emoji16]Utanyonyolewa...
Hahahaha...
Mwezi wa masikukuu kama yote...
Nachat nawe sana tu, na unachotaka sifanyi vile vile...
Kwani huu mwisho wa mwaka ni wa machungu kwangu,siku ya Xmas mie nashinda makaburini huko,
Hivyo zipite tu