Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Hajaenda kustrip kweli?! Ila Offset anafaidi sana daah[emoji18]Cardi B alilipwa $1,000,000 ili kutumbuiza seti ya dakika 35 kwenye hafla ya kibinafsi kwa wawekezaji benki[emoji845][emoji15]
View attachment 2435150