James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Kulia na kushoto ni watu wawili tofauti?
Kulia na kushoto ni watu wawili tofauti?
Si umeona hata jana mtu kafunga goli zuri,kavua shati kala kadi ya njano ya pili na kula umeme, badala ya kuchukuapira faster kupambana kupata magoli timu ifuzu, anakula umeme






















