Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kuna mali safi moja hapo kushoto kwa munabiii imevaa nyeupe
Kuna mali safi moja hapo kushoto kwa munabiii imevaa nyeupe
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nilisikia kama wanasema (eti) sasa vitaletwa vichwa vya kawaida na sio vya mwendo kasi tena. Nadhani ndio maana wameamua kutuletea mabehewa ya mizigo,yaliyo tobolewa madirisha. Kipindi wanaanza kujenga na mbwembwe nyiiingi Watanzania tuliuliza "kwa umeme upi?" Hapa Tz? Yametimia![emoji23]