cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Nimecheka Sana afu kwa sauti kubwa, watu wamenishangaa daah, mnatuvunja mbavu wenzio nyie wadau khaaaaaa.
Nimecheka Sana afu kwa sauti kubwa, watu wamenishangaa daah, mnatuvunja mbavu wenzio nyie wadau khaaaaaa.
Anayezisaka hakuumiza akili na mwili wakat Wa ujana ni lazma sasa aumize akili na mwili wakat Wa uzeeni na anayezitumia aliumiza akili na mwili wakat Wa ujana ndo maana sasa ana relaxLife is not fair View attachment 1287590
Hahaa huyu vipi tena ?
Ulipotelea wapi shemeji?
Majukumu tu madame...yalinifanya niwe busy kiasi na masuala mengine ya msingiUlipotelea wapi shemeji?
Hahahaha dalili ndo unaziona sahizi ?Eeeh ehh..shemeji tena..... yaani hii comment yako ni dalili za kuniacha....
Ooh ni vizuri aisee na hongera pia..Majukumu tu madame...yalinifanya niwe busy kiasi na masuala mengine ya msingi
Vipi lakini u-mzima ?
Hahahaha dalili ndo unaziona sahizi ?Ooh ni vizuri aisee na hongera pia..
Me ni mzima kabisa sijui wewe
Geeezzz...moyo wangu