Sijui view ya apo juu iko vip






😁 huyu dingilai kama wa kanda maalum kabisaView attachment 1269188
Baba anakagua kama kweli NI SAA 6
Ile methali kichwa cha kuku hakifai kilemba hapo pia inafaaView attachment 1269198
Ni mmoja tu hana Helmet
Hivi huyo dada unamuona ni wa kupanda daladala za gongolamboto?View attachment 1285880
Wale wa Mwendokasi, Mbagala na Gongo la mboto hii wanaielewa sana
Hahaah itakuwa subway ya nyHivi huyo dada unamuona ni wa kupanda daladala za gongolamboto?