Vituko mitandaoni. Tupia chako

Chama la wana limeshika nafasi ya 3 [emoji706][emoji706][emoji706][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2427573
Nimeshawishika kwenda kugugu, chama la wana sijaliona, lakini nimeona NRM ya Uganda imeshika nafasi ya pili dunia nzima doh[emoji23][emoji23][emoji23].
Nikasema nigugu na 'most corrupt politicians' naona Putin anashika nafasi ya pili[emoji16]
 
Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.

Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.

Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class

Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa

Source ITV Habari
 
Hivi ni vituko?
 
Inasemekana Tanzania ni channel ya comedy huko mbinguni. Inachekesha hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…