Kuna kadada kalinikuta lumumba kanadai nikaelekeze magari ya kwenda mbweni halafu kakasema kamebaki na 600 tu kwahiyo nikaongezee kidogo ,
Moyo wa kumuongezea nilikuwa nao tatizo maswali hakutaka kuyajibu maana alidai hapo kachoka na hajisikii kwenda kokote,
Mwishoni namnunulia hata maji Kwanza hataki badae kakapanic eti kama siwez kusaidia nisimpotezee mda .