Vituko mitandaoni. Tupia chako

Njano: taarifa iliyofika hivi pinde hivyo bado inachunguzwa kama ni kweli ama uzushi.

Kijani: taarifa iliyothibitishwa kuwa ni kweli.

Nyekundu: taarifa ya uzushi

Kijivu: taarifa ambayo haeleweki hivyo unapewa tahadhari usiiamini mpaka ithibitishwe.

Source: Maxence Melo
 
Asante sana mkuu🙏🙏🙏
 
Hizo 7bb alizotaja kama kweli ila bado ngumu kuelewa[emoji2380] ila hii rangi zimezidi vile!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…