."Mimi ni binti nina miaka 25. Nina mchumba ana 36 yeye yupo (Mkoa umefichwa) na mimi nipo Shinyanga.
Shida yangu ni hii hivi, je ni sawa mwanaume kukaa nyumbani kwao hadi umri huo?. Tena anafanya kazi na anataka kunioa na mimi nikakae kwao hadi amalize kujenga.
Nimemshauri aondoke hata akapange, hataki maana hana hata akili ya kujiongeza afanye kitu cha kujiongezea kipato.
Maana mshahara anaobaki nao kwa mwezi ni laki mbili na nusu. Na akitoka kazini ni kuzurula na kupiga story tu.
Ni mwaka umeisha.. nimemshauri hayo mambo mawili lakini hana hata mpango labda sababu hana majukumu ndio maana hana future yoyote.
Na anadai hataki kuondoka nyumbani sababu anaumwa sukari akikaa mwenyewe atashindwa kujipikia, lakini mimi sioni hoja ya msingi sababu mtu akijua una shida fulan utajitahidi.. kula kwa wakati na kufuata vile maelekezo ya daktari yanataka.
Mbona dada zake wamepanga na wanajipikia?.
Mimi pia nafanya kazi na nina majukumu mengine lakini natamani nipate mwanaume mwenye akili ya kujiongeza na anayependa mafanikio na sio anayetegemea familia na hana malengo kwangu.
Mimi siwezi kuolewa na mwanaume anaishi kwao kwa umri huo, naomba na maoni yenu please. Nifanye nini?.
Hide my name". Anonymous, Shinyanga.
#WatuNiStory
Unaenda wapi bhana??Sina MEME yoyote niliyosave maybe mpaka iwe imenivutia sana, Mostly of the time hiki ndicho kinachofanyika nyuma ya pazia.
Just DRAG & DROP
Emushi Shimba ya Buyenze Mshana Jr mawardat
niwashukuru pia kwa LIKES/Comments etc 1000++ kwa siku hizi 3 - 4
View attachment 2421473
There's still hopeJizazi!
There's no hope for you![]()

Madini matupu
Ila hii mbona kama ina ukweli

Sio kwamba iseme i have nice boobs
Yale yale ya kukomoana