Kafurahi huyo dah!
Huo mlango ndo alipiga na kasia ukafunguka kutokea nje? [emoji16][emoji16]Mkumbuke tu shujaaa majaliwa yupo mafunzoni! View attachment 2419222
Kiendacho tumboni hakimtii mtu unajisi bali kile kimtokacho.
Safi sana [emoji23]Na sisi tuwachore kitofauti
View attachment 2419203
Katisha
Mwamba kapita na 100 hataki mambo mengi[emoji1787][emoji1787]
Mmarekani anasemaje kwani![emoji848] Tuanzie hapo