Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

In a train compartment, there are 3 men and a ravishing young
girl. The four passengers join in conversation, which very soon turns
to be erotic. Then, the young girl proposes, "If each of you will give
me $1, I will show you my legs."

The men, charmed by this young girl, all pull a buck out
of their wallet. And then the girl pulls up her dress a bit to
show her legs.

Then she says, "If each of you gentlemen will give me
$10, I'll show you my thighs,"

Men being what they are, they all pull out a ten dollar bill.
The girl pulls up her dress all the way to her undies. Conversation continues, and the men, a bit excited, have all taken off
their coats.

Then the young girl says, "If you will give me $100, I will show you where I was operated on for appendicitis". Naturally, all three fork over the money.

Then the girl turns to the window and points to a hospital in the distance and says, "There!"
Walivamia mtumbwi
 
IMG-20221117-WA0045.jpg
 
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.

Wazee wa Mahakama ya Rufani Wamekubali Kupitia (Review) Upya Maamuzi Yao, Watoto wa Mjini Wanakwambia: Wazee Wamekubali Kuyarudia Matapishi Yao.

Iko Hivi, 25/9/2009 COSTANTINE Alifutwa Kazi na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Sababu ya Kutokwepo Kazini. Akafungua Kesi Kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Akashinda, CMA Iliamuru Arudishwe Kazini na Alipwe Mishahara Yote Ambayo Hakulipwa Tangu Kufutwa Kazi. Muhimbili Wakaenda Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Wakashindwa, Wakaenda Mahakama ya Rufani (Revision), Wakashinda Hiyo ilikuwa 29/01/2016, Mahakama ya Rufani Ilitengua Maamuzi ya Mahakama za Chini, ilisema Alifutwa Kazi Kihalali, Ilionekana HAKWEPO KAZINI KWA SIKU SABA (7).

Sasa CONSTANTINE Akawarudia Tena Wazee wa Mahakama ya Rufani ili Wayapitie (Review) Upya Maamuzi Yao, Imekuja Kuonekana Katika Zile Siku Saba (7) Ambazo ilionekana Hakwepo Kazini, Siku Zingine Zilikuwa Weekend na Sikukuu ya Idi, Hazikuwa Siku za Kazi, Kwahiyo Baada ya Kuziweka Pembeni Hizo Siku, Imegundulika HAKWEPO KAZINI KWA SIKU NNE (4) TU na Sio Siku Saba(7). Kanuni za Kazi Zinasema Ili Afutwe Kazi Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5).

Hivyo, 24/10/2022 Wazee Wameunga Mkono Maamuzi ya CMA na Mahakama Kuu, Alifutwa Kazi Kimakosa. Sasa Tupo 2022, Alifutwa Kazi 2009, Kwahiyo Atarudishwa Kazini na Kulipwa Mishara Yote Kuanzia 2009 Mpaka 2022!

Hii ni Moja ya Kesi Adimu Sana, Wazee wa Rufani Wanakubali Kureview Maamuzi Yao. Ikae Kabatini.

MD, Mendez (M.C.A)
 
Ila hapo kuna mgao wa maana miaka zaidi ya kumi!!? Kuna namna si bure
giphy.gif
 
Back
Top Bottom