southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 904
- 1,102
Ngoja wamfundishe maishaSema mnaoishi Dar mnapitia magumu sana hapa Mchizi kala nauli ya mtu
![]()
Anajichetua tu huyu mmama, kazi ku tag watu tu kwenye nyuzi zingine,Aisee huyu jamaa ni kirusi humu sijui ni mgeni na smartphone.
Astakafillullah rajim mashetani!!! Duh!!?Sema mnaoishi Dar mnapitia magumu sana hapa Mchizi kala nauli ya mtu
![]()