Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,146
Dahh hii kitu badala ya kunichekesha imenipa simanzi kwa kunikumbusha miaka michache nyuma nilipigika sanaa na maisha baada ya kuacha kazi kwa mara ya kwanza .
Hali ilikua mbaya sana kwa kitambo flan.
Dah wife akaanza kuandaa uji chupa kadhaa anakwenda nazo shulen (kazini) kuuza.Nilimkatalia ila hakukua na namna ili angalau apate chichote ...
Hii kitu ilinipa hasira sana ya kupambana nirud kwenye game...
Daah mke wangu nakuheshimu sana.

