

INASIKITISHA SANA

Nimepata taarifa kuwa kifo cha Huyu binti Joyce (32) kimesababishwa na matumizi ya Application ya simu inayoitwa BOXRETA ambayo Application hii inapatikana PLAYSTORE
Inasemekana kuwa Joyce amekua ni mmoja wa watumiaji wa hiyo Application ya BOXRETA na amekua akitumia Application hiyo ya BOXRETA kwa lengo la kufuatilia meseji (SMS) za mpenzi wake (bwana wake)
Kupitia Application hiyo Joyce aliunganisha namba ya simu mpenzi wake kwenye hiyo Application na meseji zote za mpenzi wake anazotuma na anazotumiwa Joyce akawa anaziona kupitia Application hiyo pasipo mpenzi wake kujua
Joyce alifanikiwa kukamata meseji 5 za wanawake wengine (michepuko) wakichat na mpenzi wake ndipo Joyce aliamua kuchukua maamuzi ya kujiua.
#USHAURI
"NI VYEMA HII APPLICATION YA BOXRETA IKAONDOLEWA PLAYSTORE ILI KUEPUSHA MATUKIO KAMA HAYA

R.I.P JOYCE"
#mahusiano #inarelationship #RIP #mobile #mobileapp #marriage #tanzania #mapenzi
In a relationship and Married, Boxreta Android mobile app
View attachment 2394604