Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20221021_203801_935.jpg
 
INASIKITISHA SANA

Nimepata taarifa kuwa kifo cha Huyu binti Joyce (32) kimesababishwa na matumizi ya Application ya simu inayoitwa BOXRETA ambayo Application hii inapatikana PLAYSTORE

Inasemekana kuwa Joyce amekua ni mmoja wa watumiaji wa hiyo Application ya BOXRETA na amekua akitumia Application hiyo ya BOXRETA kwa lengo la kufuatilia meseji (SMS) za mpenzi wake (bwana wake)

Kupitia Application hiyo Joyce aliunganisha namba ya simu mpenzi wake kwenye hiyo Application na meseji zote za mpenzi wake anazotuma na anazotumiwa Joyce akawa anaziona kupitia Application hiyo pasipo mpenzi wake kujua

Joyce alifanikiwa kukamata meseji 5 za wanawake wengine (michepuko) wakichat na mpenzi wake ndipo Joyce aliamua kuchukua maamuzi ya kujiua.

#USHAURI

"NI VYEMA HII APPLICATION YA BOXRETA IKAONDOLEWA PLAYSTORE ILI KUEPUSHA MATUKIO KAMA HAYA R.I.P JOYCE"

#mahusiano #inarelationship #RIP #mobile #mobileapp #marriage #tanzania #mapenzi

In a relationship and Married, Boxreta Android mobile appView attachment 2394604
Mkuu mbona kama umefungulia watu bongo waitafute
 
Back
Top Bottom