Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,858
- 136,485
Kwa Kisukuma tunaita gūlehiwa. Mtu anakwenda kusaga mahindi halafu harudi mnasubiri weee kumbe mabaharia wameshafanya yao 😁😁😁Ma house girl kuna muda wana vituko sanaView attachment 2387974
Ulizia gharama za kuandika hili bango. Utakuta hata milioni tano imetembea hapa. Kazi sana yaani!
Huyu dogo moja kwa moja mbinguni tena pale mbele kabisa karibu na kiti cha enzi
AnaibiwaaaaaHela ni nzuri View attachment 2388557
Na hii nikama Mbape wa PSG 🤣🤣 🤣