we jamaa unaugomvi na wanyakyusa???
Kelsea soma hiyooooo🤣🤣🤣🤣Imagine mtu mfupi anakwambia
Nitasimama na wewe BEGA kwa BEGA
Kwa hiyo nikusema kuwa Kelsea hastahili kiwa mke wangu maana hataki kupambana nami kwenye bodabodaWazo la leoView attachment 2387594
Aisee.....Ally popote ulipo safi sana,umejua kutuwakilishaView attachment 2387595
SijawahiEti wadada wa jukwaa hili View attachment 2387642
😁🤣Wasukuma kwa mara nyingine tena View attachment 2386774