Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ukijichanganya tu mvua 30![emoji856]View attachment 2383599
Ukijichanganya tu mvua 30![emoji856]View attachment 2383599
Yeah! Kule ni mabikra tu. Hata simu utaikumbuka saa ngapi?Peponi hamna simu sheikh wangu
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?
Kanisani.
1. unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.
Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya usafi eneo la biashara.
7: Tozo ya usafi eneo la makazi.
8: Kodi ya Pango eneo la Biashara.
9:
Kijamii.
1: Michango ya harusi, kitchen party, send-off, birthday nk.
2: michango ya misiba.
3: Madeni ya Vicoba/Benk
4: Michango ya ukoo
5: Madeni kwa MANGI.
6: Ada/ michango ya watoto shuleni.
Maisha yenyewe Sasa;
Mafuta Bei juu.
Unga Bei juu
Mchele Bei juu
Maharage Bei juu
Mbolea Bei juu
Nyama Bei juu
Sabuni Bei juu
Maji Bei juu.........nk
Hapa ukiwa na AFYA ya Akili, juwa wewe huna Akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujasusi wa kiuchumi. Mjanja sana huyu hustler
[emoji16][emoji16][emoji16]waha kwa ubishi!!View attachment 2383065
Kweli tupu. Vimbaumbau ni tatizo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2383030
Mkuu utafika mbinguni ukiwa hoi bin taaban wallahi! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda alimaanisha vellama ile indian comic ya mshangazi
Aione Mgaya hii [emoji16][emoji16]
Aaa wapi!
Huyu atakuwa na mtako wa kufa mtu hivyo equation inabalansi [emoji16][emoji16][emoji16]