Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,857
Hayo Mabomba ya pombe yatapasuliwa sn mtaani kwa makusudi ili watu wanywe walewe
Hayo Mabomba ya pombe yatapasuliwa sn mtaani kwa makusudi ili watu wanywe walewe
Mimi nimelalia kwaajili ya kujifunguaMimi nililalia siku niliyozaliwa...sijalalia tenanamshukuru sana Mungu
Wanampa hvyo kwa sababu kashinda jaribio ambalo ata wakubwa zao wangeshindwaNa kupigiwa salute nyingiView attachment 2379962
Ashukuriwe MunguMimi nimelalia kwaajili ya kujifungua
dah nikipata dem wa hiv natulia naacha uhun
Ndoa niuvumilvu dada, atabadilika siku moja.
sweet babies