ππHayanaga mwongozo πππ
πππMkuu..nimekosa Mimi,nimekosa Mimi,nimekosa Sanaπ
Sitarudia tena kumwita kyutiπ
Kweli eeh? Una namba yake?Ndiye anamiliki pia Lake Oil hapa kwetu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2378991
[emoji16][emoji16]View attachment 2378615
Kwisha kazi HAKUNA KUOA HAPA
Shimba ya Buyenze njoo usikie huku πππHadi leo hawajaja tu kutoa mahali?? Kalaghabaho π
Mpwa naiomba ile barua uliyomwandikia kama bado unayo. Kuna mtu anaihitaji hapa. Anataka niipeleke pamoja na kuku mweusi na maziwa ya kakakuona!Shimba ya Buyenze njoo usikie huku πππ
Madelu anakaba mpaka penati yaani. Kazi ipo!Serikali sikivu imewasikia.Na hili muende mkalitizame View attachment 2379117
Kwa roho nzuri ipi?Sio lazima wote tutesekeView attachment 2379116
ππππ Mpwa kakakuona tutampata kweliMpwa naiomba ile barua uliyomwandikia kama bado unayo. Kuna mtu anaihitaji hapa. Anataka niipeleke pamoja na kuku mweusi na maziwa ya kakakuona!
Daktari hana chake! πͺπͺπͺ
Kuna mama wa Kisomali hapa kasema hayo maziwa ya kakakuona anayo. Kesho ndo naenda kumuona. Vita ni vita mura ohoo!ππππ Mpwa kakakuona tutampata kweli
Kosa la kiufundi.
Kweli ni kosa kubwaKosa la kiufundi.
Kwa nini ukalale kwa mkewa mtu?
Basi hapo lake oil hapafai kuomba kazi[emoji16]Ndiye anamiliki pia Lake Oil hapa kwetu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2378991
Kosa kwanza ni kutaka kulala na mke wa mtu. Wanawake sijui bilioni 4+ wote umekosa mpaka ukadandie mke wa mtu? Uboya wa kupindukia!Kweli ni kosa kubwa