Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,261
Dadavua
Hahaha huyo dogo kashika mfuko wenye popcorn angalia nimezungushia duara la blue hapoMimi sijaelewa chochote mkuu
Ni jamaa mmoja ana undugu na kigogo2014 hivyo anakuja kwa kasi sana mithili ya dokta shika.Dadavua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm nlipoona mazigazi nika scroll tuHahaha huyo dogo kashika mfuko wenye popcorn angalia nimezungushia duara la blue hapo
sasa ukiangalia kwa haraka bila kumakinika utahisi kama dogo mlemavu wa miguu
kumbe yuko fresh ni hilo fuko linalofanana na rangi ya hiyo ardhi limeziba miguu yake View attachment 1274685
Jakha
Pale wengi wamechemka panahitaji concentration ya hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm nlipoona mazigazi nika scroll tu
Kikatokea nn baadae maana si kwa kua naked hvyoAdam and Eve in the garden of EdenView attachment 1274715
Hii ni second chance kwao, tuendelee kusikilizia maana tunda hapo linaonekana bado halijaivaKikatokea nn baadae maana si kwa kua naked hvyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni second chance kwao, tuendelee kusikilizia maana tunda hapo linaonekana bado halijaiva