Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vawulence bus!Nimeipenda ,imekaa poa.Haya majitu yakiwa huku yanajiwekea utukufu na enzi kuu,kumbe yanaweza kusafiri kama raia wengine na mambo yakawa poa.Hii no kuwakumbusha kuwa wao ni daraja la mwisho,wa kawaida saaana[emoji23]
Wakiwaga huku sasa mnawekwa pending kwenye folen 30mnts goddamit [emoji23][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…