Muhindi na Kiswahili..
(1) Mfa maji ?ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦.. Tampa life jacket.
(2) Mwenda pole?ā¦ā¦ā¦ā¦ Tachelewa fika.
(3) Usipoziba ufa ?ā¦ā¦ā¦.. Mizi taona mpaka dani.
(4) Usilolijua ?ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ Uliza google.
(5) Mbio za utelezini ?ā¦ā¦. Chafua guo yako.
(6) Ukipenda boga ?ā¦ā¦ā¦ Ngoja mezi ya ramzani tapata.
(7) Ukiona vinaelea ?ā¦ā¦.. iko nyepesi hiyo.
(8) Maji yakimwagika ?ā¦ā¦ Mambie dada tapiga deki.
(9) Chelewa chelewa ?ā¦ā¦ā¦ Takosa guo ya sikukuuā¦
(10) Kila ndege ?ā¦ā¦ā¦ā¦.. ā¦Hutua Airport
(11) Bandu bandu ?ā¦.. ā¦ā¦.Rafiki yake Jecha
(12) Mtaka cha Mvunguni ?⦠Ondoa tanda
(13) Simba mwenda kimya?ā¦.Kama sio gonjwa basi haina njaa.
(14) Aisifuye mvua ?ā¦ā¦ā¦. Najua iko Mkulima hiyo
(15) Barabara ndefu ?ā¦ā¦.. Ongeza mwendo au tachelewa fika.
(16) Mlanawe hafi nawe ila?ā¦. Takimbia
(17) Asie sikia la mkuu ? ā¦ā¦.. Tapeleka jela
(18) Hasira za mkizi ? ā¦ā¦ā¦ā¦..Tatafuna veve
(19) Mchamba wima ?ā¦ā¦.. Karibu ya Hurumzi
(20) Akumurikae mchana ?ā¦.Kipofu hiyo
(21) Mficha maradhi ?ā¦ā¦.. Taenda Loliondo
(22) Mkataa wingi ? ā¦ā¦ā¦.Taenda Chadema
(23) Bendera ?ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦. Kama sio ya CCM, ya Chadema au ya CUF
(24) Baniani mbaya ?ā¦ā¦. Peleka Bombay Lakini sio HB kweli, naonea tu
(25) Akili nyingi ?ā¦ā¦ā¦. Tapasi mtihani yote
(26) Penye kuku wengi ? ā¦ā¦.. Chija bili tatu ivi, hapana mtu najua.