[emoji28][emoji28]namm baada ya week nije na uzi wangu hukuHautojutia,we. tuma na yakutolea[emoji12]
Wewe nakufata hukohuko kukuchukua wasije kukuiba njiani[emoji12]Taavid tuma na yakutolea View attachment 2342598
Uzi was kukutana na warda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]namm baada ya week nije na uzi wangu huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]komesha,Wewe nakufata hukohuko kukuchukua wasije kukuiba njiani[emoji12]
Kwa kweli bora unifanyie hivyo kuliko nkutumie nauli afu usije, ni dharau iliyovuka kikomo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]komesha,
Eti wanasema mnasema tunakula nauli zenu,sasa mtufuate mkifika stend mnazimiwa simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nauli yako inakuwa umeila mwenyewe[emoji1435]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaniKwa kweli bora unifanyie hivyo kuliko nkutumie nauli afu usije, ni dharau iliyovuka kikomo [emoji23][emoji23]
Kwani we hutaki nikufate, nije hadi kwenu na chuma tupige misele uoshee mabest afu tusepe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
Nikatie tiketi ya kiitroniki[emoji41]
Ewaaaaah mambo si hayo[emoji7]Kwani we hutaki nikufate, nije hadi kwenu na chuma tupige misele uoshee mabest afu tusepe[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]mabest lazima wajue kabisa uko na jamaa anaehudhuria sheli mara kwa maraEwaaaaah mambo si hayo[emoji7]
Njoo nakusubiri mie nitambe[emoji23][emoji23]
Eti na sio bahili japo mafuta yapo bei juu kawasha chuma kutoka dar hadi maposeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mabest lazima wajue kabisa uko na jamaa anaehudhuria sheli mara kwa mara